Ufafanuzi wa dakizo katika Kiswahili

dakizo

nomino

  • 1

    tabia ya kuingilia kati mazungumzo ya watu wengine bila ruhusa yao.

  • 2

    kimbelembele

Matamshi

dakizo

/dakizÉ”/