Ufafanuzi wa dalia katika Kiswahili

dalia

nominoPlural dalia

  • 1

    unga unaonukia vizuri wenye rangi ya manjano unaotumiwa na wanawake kutia katika nguo, agh. hutiwa katika sanda.

Asili

Kar

Matamshi

dalia

/dalija/