Ufafanuzi wa dama katika Kiswahili

dama

nominoPlural dama

  • 1

    mchezo kama wa bao unaochezwa kwa mawe yaliyochongwa na kupakwa rangi nyeusi na kutiwa vitone vyenye idadi maalumu.

Asili

Kre

Matamshi

dama

/dama/