Ufafanuzi wa danedane katika Kiswahili

danedane, danadana

nominoPlural danedane

  • 1

    mchezo ambao agh. huchezwa na wafuasi wa Aga Khan kwa kutumia vigongo.

    dandalo

  • 2

Asili

Khi

Matamshi

danedane

/danɛdanɛ/