Ufafanuzi wa dapia katika Kiswahili

dapia

kitenzi elekezi~ka, ~lia, ~liana, ~wa, ~za

  • 1

    ruka kutoka tawi moja la mti hadi jingine kama wafanyavyo wanyama k.v. kima au tumbiri.

Matamshi

dapia

/dapija/