Ufafanuzi msingi wa daraja katika Kiswahili

: daraja1daraja2

daraja1

nominoPlural madaraja, Plural daraja

 • 1

  kivuko kilichojengwa kwa zege na vyuma, miti au mbao kwa ajili ya kuvukia mto au mfereji.

  mtatago, mtanato, tingatinga, kivuko

 • 2

  kipandio cha ngazi ya nyumba, agh. kilichojengwa kwa mawe na saruji.

  kidato

 • 3

  gati

 • 4

  ngazi ya kupandia gati au melini.

 • 5

  kianio, kipandio, kiwango

Asili

Kar

Matamshi

daraja

/daraʄa/

Ufafanuzi msingi wa daraja katika Kiswahili

: daraja1daraja2

daraja2

nominoPlural madaraja, Plural daraja

 • 1

  ‘Amepandishwa daraja’
  ‘Amepewa daraja ya juu’

 • 2

  ‘Amefaulu daraja ya kwanza’
  divisheni

Asili

Kar

Matamshi

daraja

/daraʄa/