nominoPlural madau
- 1
chombo kama jahazi dogo kilichochongoka mbele na nyuma, kisicho na mirengu, hutumika kuvulia samaki au kuvushia watu.
‘Dau la mataruma’‘Dau la msumari’‘Dau la mtepe’methali ‘Dau la mnyonge haliendi joshi’mtumbwi
nominoPlural madau
- 1
fungu la fedha au la kitu chochote linalowekwa katika mchezo wa kamari ambalo huchukuliwa na aliyeshinda.
Asili
Kar