Ufafanuzi wa dawari katika Kiswahili

dawari

nominoPlural dawari

  • 1

    kamba ya kufungia wanyama k.v. ng’ombe, mbuzi n.k. miguuni wakati wa kuwakama.

Asili

Kar

Matamshi

dawari

/dawari/