Ufafanuzi msingi wa denda katika Kiswahili

: denda1denda2

denda1

kitenzi elekezi

  • 1

    omba kitu kwa njia ya ulaghai.

    nyenga, doea

Matamshi

denda

/dɛnda/

Ufafanuzi msingi wa denda katika Kiswahili

: denda1denda2

denda2

nomino

  • 1

    mate yanayomtoka mtu wakati yuko usingizini.

    ute

Matamshi

denda

/dɛnda/