Ufafanuzi wa deua katika Kiswahili

deua

kitenzi elekezi

  • 1

    epua

  • 2

    geuza kichwa hasa kwa dharau au maringo.

    dharau

Matamshi

deua

/dɛwuwa/