Ufafanuzi wa dhaa katika Kiswahili

dhaa

nomino

  • 1

    ukosefu wa raha moyoni au akilini; mvurugiko wa mawazo.

    wasiwasi

Matamshi

dhaa

/ða:/