Ufafanuzi msingi wa dhalala katika Kiswahili

: dhalala1dhalala2

dhalala1

nominoPlural dhalala

 • 1

  mwenendo wa upotovu; uachaji wa njia ya haki.

 • 2

  uvunjaji wa heshima.

  upotovu, dharau, simango

Asili

Kar

Matamshi

dhalala

/ðalala/

Ufafanuzi msingi wa dhalala katika Kiswahili

: dhalala1dhalala2

dhalala2

kielezi

 • 1

  bila ya sababu.

  bure

Matamshi

dhalala

/ðalala/