Ufafanuzi wa dhalili katika Kiswahili

dhalili

kivumishi

  • 1

    -a hali ya chini; -a kudharauliwa.

    nyonge, maskini, hakiri, dhalifu, dhaifu, tule

Asili

Kar

Matamshi

dhalili

/ðalili/