Ufafanuzi wa dhamiria katika Kiswahili

dhamiria

kitenzi elekezi

  • 1

    kusudia kufanya jambo.

    hirimia, kusudia, nuia, fikiria

Matamshi

dhamiria

/├░amirija/