Ufafanuzi wa dhima katika Kiswahili

dhima

nominoPlural dhima

  • 1

    wajibu mkubwa pamoja na uwezo wa kufanya jambo.

    madaraka, wadhifa

  • 2

    upande unaonyesha madeni katika waraka wa mizania.

Asili

Kar

Matamshi

dhima

/ðima/