Ufafanuzi wa dhiraa katika Kiswahili

dhiraa

nominoPlural dhiraa

  • 1

    kipimo kutoka kiwiko cha mkono hadi ncha ya kidole kirefu cha mkono.

  • 2

    kipimo cha inchi 18.

    mkono

Asili

Kar

Matamshi

dhiraa

/ðira:/