Ufafanuzi wa dhukuru katika Kiswahili

dhukuru

kitenzi elekezi

 • 1

  kumbuka
  and → fahamu

 • 2

  taja, nena, amba, sema

 • 3

  zingatia, tafakari, taamali, waza

 • 4

  dhikiri

Matamshi

dhukuru

/├░ukuru/