Ufafanuzi msingi wa digrii katika Kiswahili

: digrii1digrii2

digrii1

nominoPlural digrii

  • 1

    kipimo au vipimo katika hesabu za maumbo/jiometria na hali ya joto.

    nyuzi

Asili

Kng

Matamshi

digrii

/digri:/

Ufafanuzi msingi wa digrii katika Kiswahili

: digrii1digrii2

digrii2

nominoPlural digrii

  • 1

    cheti anachopewa mtu baada ya kuhitimu masomo ya chuo kikuu.

    shahada

Asili

Kng

Matamshi

digrii

/digri:/