Ufafanuzi msingi wa dikoni katika Kiswahili

: dikoni1dikoni2

dikoni1

nominoPlural madikoni

Kidini
  • 1

    Kidini
    kiongozi au mzee wa kanisa ambaye si kasisi.

Asili

Kng

Matamshi

dikoni

/dikɔni/

Ufafanuzi msingi wa dikoni katika Kiswahili

: dikoni1dikoni2

dikoni2 , dekani

nominoPlural madikoni

Kidini
  • 1

    Kidini
    padri aliye na kazi ya kusimamia sehemu mojawapo ya jimbo chini ya askofu.

Asili

Kng

Matamshi

dikoni

/dikɔni/