Ufafanuzi msingi wa dimba katika Kiswahili

: dimba1dimba2dimba3

dimba1

nominoPlural madimba

  • 1

    lango la kuingilia kumbini wanakokaa wari jandoni.

  • 2

    uwanja wa kumbini.

Matamshi

dimba

/dimba/

Ufafanuzi msingi wa dimba katika Kiswahili

: dimba1dimba2dimba3

dimba2

nominoPlural madimba

  • 1

    shamba lililoachwa na kurudiwa tena.

Matamshi

dimba

/dimba/

Ufafanuzi msingi wa dimba katika Kiswahili

: dimba1dimba2dimba3

dimba3

nominoPlural madimba

Matamshi

dimba

/dimba/