Ufafanuzi wa dinda katika Kiswahili

dinda

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    shikilia msimamo fulani.

  • 2

    simama kwa uume.

    kita, disa, inuka, simika

Matamshi

dinda

/dinda/