Ufafanuzi msingi wa dirizi katika Kiswahili

: dirizi1dirizi2

dirizi1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    ongoza k.v. katika ngoma.

Matamshi

dirizi

/dirizi/

Ufafanuzi msingi wa dirizi katika Kiswahili

: dirizi1dirizi2

dirizi2

nominoPlural dirizi

  • 1

    nguo za vita zilizotengenezwa kwa chuma.

    deraya

Matamshi

dirizi

/dirizi/