Ufafanuzi wa dodoki katika Kiswahili

dodoki

nomino

  • 1

    tunda linalofanana na mung’unye na ambalo likikauka huwa na nyuzinyuzi na hutumika kujisugulia mwili wakati wa kuoga.

Matamshi

dodoki

/dɔdɔki/