Ufafanuzi wa dondoa katika Kiswahili

dondoa

kitenzi elekezi~ana, ~lea, ~leana, ~leka, ~lesha, ~lewa

  • 1

    okota kitu kimojakimoja kama vile punje au wadudu walio mwilini.

  • 2

    kariri au nukuu sehemu ya maandishi au mazungumzo ya mtu mwingine.

Matamshi

dondoa

/dɔndɔwa/