Ufafanuzi wa duduika katika Kiswahili

duduika

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    umbuka ngozi, agh. kwa ugonjwa.

    ‘Duduika uso kuwa na uso ulioumbuka kwa vishimo baada ya kupatwa na ugonjwa wa ndui au kubabuka’
    tutuka

Matamshi

duduika

/dudujika/