Ufafanuzi wa duduvule katika Kiswahili

duduvule

nominoPlural duduvule

  • 1

    mdudu, agh. anayetoboa na kukaa ndani ya mti.

    sondo

Matamshi

duduvule

/duduvulɛ/