Ufafanuzi wa duia katika Kiswahili

duia

kitenzi elekezi

  • 1

    takia mtu maafa.

    laani, apiza

Matamshi

duia

/duwija/