Ufafanuzi wa dulabu katika Kiswahili

dulabu

nomino

  • 1

    pia ya kusokotea nyuzi.

Asili

Kaj / Kar

Matamshi

dulabu

/dulabu/