Ufafanuzi wa dumuzi katika Kiswahili

dumuzi

nominoPlural dumuzi

  • 1

    mdudu mdogo mweusi na mwenye kichwa kikubwa anayeharibu nafaka k.v. mahindi, mtama, n.k. kwa kuzitoboatoboa matundu.

Matamshi

dumuzi

/dumuzi/