Ufafanuzi wa dunda katika Kiswahili

dunda

kitenzi sielekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  gonga kwa nguvu.

  ‘Dunda ngoma’

 • 2

  pigisha kitu mahali pagumu ili kirudi au kipae juu.

  ‘Dunda mpira’

 • 3

  rudi kwa kuruka k.v. mpira.

 • 4

  twanga kitu kidogo.

  funda

Matamshi

dunda

/dunda/