Ufafanuzi wa dunduiza katika Kiswahili

dunduiza, dunduliza, dundiza

kitenzi elekezi

  • 1

    jipatia chakula kiasi kidogo kwa kufanya kazi ndogondogo.

  • 2

    weka kidogokidogo ili kiwe kingi baada ya muda fulani.

    tundiza

Matamshi

dunduiza

/dunduIza/