Ufafanuzi wa dunia katika Kiswahili

dunia

nomino

  • 1

    sayari ambamo tunaishi.

    ulimwengu, ardhi

  • 2

    maisha

Asili

Kar

Matamshi

dunia

/dunija/