Ufafanuzi wa eda katika Kiswahili

eda

nominoPlural eda

Kidini
 • 1

  Kidini
  muda wa miezi minne na siku kumi anaokaa mwanamke wa Kiislamu bila ya kuolewa baada ya kufiwa na mumewe.

  ‘Kaa eda’

 • 2

  Kidini
  muda wa miezi mitatu ambao mwanamke wa Kiislamu anapoachika analazimika kukaa kabla hajaolewa tena.

Asili

Kar

Matamshi

eda

/ɛda/