Ufafanuzi wa egema katika Kiswahili

egema

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa

  • 1

  • 2

    kabili mtu ili kupambana naye.

  • 3

    tegemea

Matamshi

egema

/ɛgɛma/