Ufafanuzi wa egesha katika Kiswahili

egesha

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~ewa, ~wa

  • 1

    weka pembeni chombo cha usafiri k.v. jahazi, gari au baiskeli.

  • 2

    paki

Matamshi

egesha

/ɛgɛ∫a/