Ufafanuzi wa ekzosi katika Kiswahili

ekzosi

nominoPlural ekzosi

  • 1

    bomba la chuma la kutolea moshi kutoka kwenye gari au mashine.

Asili

Kng

Matamshi

ekzosi

/ɛkzɔsi/