Ufafanuzi wa elektroniki katika Kiswahili

elektroniki

nomino

  • 1

    sayansi inayohusu tabia za elektroni.

    ‘Wanafunzi walishuhudia maonyesho ya vitu vya elektroniki’

Asili

Kng

Matamshi

elektroniki

/ɛlɛktrɔniki/