Ufafanuzi wa elewana katika Kiswahili

elewana

kitenzi sielekezi

 • 1

  patana
  , → lingana
  , and → afikiana

 • 2

  fahamiana, juana

 • 3

  kaa pamoja na mtu au watu wengine bila kugombana.

  tangamana

Matamshi

elewana

/ɛlɛwana/