Ufafanuzi wa eneza katika Kiswahili

eneza

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~ewa, ~wa

  • 1

    sambaza (kitu) kila mahali.

    ‘Eneza habari’

Matamshi

eneza

/ɛnɛza/