Ufafanuzi wa ethnolojia katika Kiswahili

ethnolojia

nomino

  • 1

    tawi la anthropolojia linaloshughulika na mahusiano ya mataifa mbalimbali.

Asili

Kng

Matamshi

ethnolojia

/ɛθnɔlɔʄija/