Ufafanuzi wa etuka katika Kiswahili

etuka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    shangaa ghafla.

Matamshi

etuka

/ɛtuka/