Ufafanuzi msingi wa ewe! katika Kiswahili

: ewe!1ewe!2

ewe!1

kiingizi

  • 1

    tamko la mshangao na mgutuko.

Matamshi

ewe!

/ɛwɛ/

Ufafanuzi msingi wa ewe! katika Kiswahili

: ewe!1ewe!2

ewe!2

kiingizi

  • 1

    kifupisho cha ‘ee wewe!’.

Matamshi

ewe!

/ɛwɛ/