Ufafanuzi wa fafanua katika Kiswahili

fafanua

kitenzi elekezi

  • 1

    eleza waziwazi; fahamisha vizuri; toa maelezo dhahiri.

    fasiri, fasili, sherehi, pambanua, tanzua

Matamshi

fafanua

/fafanuwa/