Ufafanuzi wa fahuwa katika Kiswahili

fahuwa

kielezi

  • 1

    hakuna tofauti yoyote.

    ‘Akija asije kwangu fahuwa’
    mamoja

Matamshi

fahuwa

/fahuwa/