Ufafanuzi msingi wa faini katika Kiswahili

: faini1faini2

faini1

nomino

  • 1

    fedha au mali anayotozwa mwenye hatia kuwa ni adhabu; fedha ya kulipia kosa.

    haka

Asili

Kng

Matamshi

faini

/faIni/

Ufafanuzi msingi wa faini katika Kiswahili

: faini1faini2

faini2

kitenzi elekezi

  • 1

    toza fedha au mali kuwa ni adhabu.

Asili

Kng

Matamshi

faini

/faIni/