Ufafanuzi msingi wa fakiri katika Kiswahili

: fakiri1fakiri2

fakiri1 , fukara

nominoPlural mafakiri

  • 1

    mtu aliye maskini sana; maskini kabisa.

    hohehahe, hawinde, mhitaji, maskini, mkata

Asili

Kar

Matamshi

fakiri

/fakiri/

Ufafanuzi msingi wa fakiri katika Kiswahili

: fakiri1fakiri2

fakiri2

kivumishi

  • 1

    -a kimaskini; -enye kuhitaji.

Asili

Kar

Matamshi

fakiri

/fakiri/