Ufafanuzi wa fala katika Kiswahili

fala

nomino

  • 1

    mtu aliyepumbaa.

    mpumbavu, mjinga, bwege, bozi, gulagula, juha