Ufafanuzi wa fana katika Kiswahili

fana

kitenzi sielekezi~ia

  • 1

    tendeka jambo au kitu kwa namna nzuri na ya kuridhisha.

    faulu, stawi, shamiri

Matamshi

fana

/fana/