Ufafanuzi wa fanikisha katika Kiswahili

fanikisha

kitenzi elekezi

  • 1

    sababisha azma ya mtu kufikiwa, pata kile mtu alichokuwa anataka.

Matamshi

fanikisha

/fanikiāˆ«a/