Ufafanuzi wa faruma katika Kiswahili

faruma

nomino

  • 1

    kifaa cha mviringo cha mbao cha kuanikia kofia baada ya kufuliwa.

Matamshi

faruma

/faruma/